Saturday, June 4, 2011

EngRish!

Elmer G. Pratt, Jailed Panther Leader, Dies at 63

Elmer G. Pratt, a Black Panther leader who was imprisoned for 27 years for murder and whose marathon fight to prove he had been framed attracted support from civil rights groups and led to the overturning of his conviction, died on Thursday in a village in Tanzania, where he was living. He was 63

Mr. Pratt, who was widely known by his Panther name, Geronimo ji-Jaga, had high blood pressure and other ailments, his longtime lawyer, Stuart Hanlon, said. Mr. Hanlon said he did not know the exact cause of death.
To his supporters — among them Amnesty International, the N.A.A.C.P. and the American Civil Liberties Union — Mr. Pratt came to symbolize a politically motivated attack on the Black Panther Party for Self Defense and other radical groups. But from the start, the grisly facts of the murder of a 27-year-old teacher dominated discussions of the case, including those of the parole board that denied parole to Mr. Pratt 16 times.
Elmer Gerard Pratt, the name he rejected at 20 as that of a “dirty dog” slave master, was born on Sept. 13, 1947, in Morgan City, La. His father was in the scrap-metal business. Elmer liked to shoot rabbits and sell them. He was a high school quarterback, then joined the Army, serving two tours in Vietnam, earning two Purple Hearts and emerging a sergeant.

Mr. Pratt attended the University of California, Los Angeles, where he studied political science and joined the Panthers. He rose to lead the Los Angeles branch. He moved to Tanzania because he had friends there and had always wanted to live in Africa.
He is survived by a daughter, three sons, two sisters and two brothers. He was godfather to the slain rapper Tupac Shakur

Sunday, May 29, 2011

Watanzania ndivyo tulivyo?

Kuna ka video nimekapata. Mama mmoja mmarekani anayeandaa marathon Moshi kila mwaka mwezi Juni ( www.mtkilimanjaromarathon.com ) anaelezea juu marathon "yake". Jinsi alivyoelezea watanzania tulivyo japo ni kweli lakini sikuipenda sana. Ukweli unauma siku zote!


Cheki hiyo video hapa chini


Friday, May 20, 2011

Wabunge wa Kenya!




Kama wabunge wetu ndio hivi, hatutafika mbali. Mungu ibariki Afrika!

Monday, May 16, 2011

Maisha bora!


Picha hizi nimezikuta katika blog ya umasikini.blogspot. Kwa kweli zinatia uchungu sana kwa Tanzania ya leo kuwa na hali kama hii




Haya ndio maisha bora kwa kila mtanzania!

Tujiulize.
Hata kama serikali imeshindwa kutimiza wajibu wake wa kuwasaidia/kuwaletea watu wake huduma za jamii, sisi wenyewe tunashindwa kuifanya hali iwe bora kidogo kuliko hivi? Mbona kwenye maharusi tunachanga kwa wingi tu. Hawa si ndugu zetu tuliowaacha vijijini tukiwaahidi kuwa mambo yakinyooka mjini tutawasaidia?

Wasalaam

Tuesday, May 10, 2011

Ubaguzi

Magazeti ya ki-Israel ambayo yana msimamo mkali huwa hayachapishi picha yenye mwanamke. Angalia hapa chini













Sasa angalia picha halisi

Thursday, April 14, 2011

Wanariadha wa Kenya wabaguliwa



Waandaaji wa mbio za marathon huko Udachi (Nedherlands) wamesema kuwa wanariadha wa Kenya wataambulia zawadi ya Euro 100 tu hata kama watashinda mbio hizo. Wenyeji wa nji hiyo watapata zawadi nono hata kama akiwa wa ngapi kumaliza, alimradi awe ni mdachi wa kwanza kukatiza mstari wa kumalizia.
Sababu? Kila mwaka wakenya wanakuja na kubeba zawadi zote! sasa wamechoka.

Wiki ijayo kuna marathon Boston na London. Sijui kama nao watawaiga wenzao
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...